Jaqueline Wolper kwa mara ya kwanza, ameongea kuhusu kubadili dini, kuachana, usagaji
Good news: Wimbo wa Diamond & Davido ‘number 1 rmx’ umefika mpaka hapa Brazil
Zilipita headlines nyingi za Diamond kufanya kolabo na mastaa wakubwa wa
muziki Afrika akiwemo Davido na Iyanya, video zake kuchezwa kwenye tv
za kimataifa na zinazoonekana sehemu kubwa ya Afrika kama Trace TV, MTV
BASE, Channel O na Sound City,...